• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Planning & Statistic

IDARA YA MIPANGO TAKWIMU NA UFUATILIAJI

Utangulizi

Idara ya Mipango Takwimu na Ufuatiliaji imegawanyika katika sehemu kuu mbili; sehemu ya kwanza ni Sera na Mipango na sehemu ya Pili ni Takwimu na Ufuatiliaji. Idara inaongozwa na kusimamiwa na Mkuu wa Idara ambaye ni Afisa Mipango Wilaya.

Malengo Makuu ya Idara

  • Idara imedahmiaria kuendelea kuimarisha utekelezaji na ufuatiliaji thabiti wa shughuli zote za maendeleo
  • Kuhamasisha wadau mbalimbali wa maendeleo kuwekeza katika viwanda sambamba na utafutaji wa rasilmali mbalimbali kwa ajili ya maendeleo.
  • Kuhakikisha Sera, Mipango na maelekezo yote ya serikali yanatekelezwa kwa kuwekwa katika mipango ya maendeleo ya Wilaya

Mipango Mikakati ya Idara

Mpango Mkakati I

Kuimarisha Utawala bora na utoaji wa huduma kwa Jamii

Mpango Mkakati II

Kuboresha upatikaji wa miundombinu bora na huduma za kiuchumi

Mpango Mkakati III

Kuongeza viwango bora vya upatikanaji wa huduma za kijamii na miundombinu.

Mpango Mkakati IV

Kuimarisha usimamizi na udhibiti wa majanga na viashiria vyake.

Majukumu Makuu ya Idara

Kuratibu na Kusimamia uandaaji na uchambuzi wa Bajeti ya Wilaya kwa Kila mwaka wa fedha wa serikali kwa kuzingatia sera, mipango na vipaumbele mbalimbali vya serikali.

Kufanya ufuatiliaji na tathmini ya mwenendo wa bajeti na kuimarisha uajibikaji katika utekelezaji

Kuandaa taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kila robo mwaka

Kuratibu ufuatiliaji na tathmini katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kila robo mwaka.

Kuandaa maandiko ya miradi kwa lengo la kutafuta rasilmali fedha toka serikalini na kwa wadau wengine wa maendeleo.

Kuahakikisha upatikanaji wa Takwimu sahihi kwa ajili ya matumizi ya shughuli za kiuchumi na maendeleo kwa ujumla

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA -KILIMANJARO June 30, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA SENSA, 2022 SIHA DC-KILIMANJARO July 27, 2022
  • Taarifa ya M.Kiti Halmashauri Siha Robo ya Nne 2021.2022 Mkutano wa Baraza la Madiwani August 12, 2022
  • Matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018 shule za Halmashauri ya Wilaya ya Siha-Kilimanjaro July 14, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Wananchi Wilaya ya Siha waombwa kushiriki zoezi la Sensa tarehe 23 Agosti,2022

    August 16, 2022
  • Rais Samia atoa ajira mpya 102 watumishi wa Umma Siha 2021/2022

    August 16, 2022
  • Bei ya Maji Wilayani Siha-Kilimanjaro yaendelea kushuka

    August 15, 2022
  • Bajeti Halmashauri ya Wilaya ya Siha 2022/2023 yafikia shilingi Bil. 22.308

    August 12, 2022
  • Ona Zote

Video

SERIKALI YA RAIS SAMIA YAENDELEA KUBORESHA SEKTA YA KILIMO SIHA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.