• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2018/2019
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi Wilayani Siha awamu ya Sita ya Rais SAMIA

Posted on: May 11th, 2022

Uwezeshaji Wananchi kiuchumi Wilayani Siha mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kipindi cha mwaka mmoja (Machi 2021 hadi Machi 2022) ya Serikali ya awamu ya Sita ya Utawala wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN imetoa jumla ya shilingi milioni 837.10 kwa ajili ya kuwawezesha kiuchumi Wananchi wa   Wilaya ya Siha.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha ndugu Pendo Mangali  hivi karibuni ametoa taarifa ya  fedha zilizotolewa na Serikali kuu pamoja na  Halmashauri ya Wilaya ya Siha kupitia mapato ya ndani  katika uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi.

Katika taarifa hiyo ndugu Pendo Mangali ameeleza kuwa kati ya fedha zilizotolewa kiasi cha shilingi milioni 601.46 zimetolewa na Serikali kuu kupitia mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) Wilaya ya Siha ambapo jumla ya wanufaika 3,570 walipatiwa kiasi hicho cha fedha.

Wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini Wilayani Siha wameongezeka kutoka 1,664 mwaka 2021 hadi kufikia 3,570 mwaka 2022, Pia idadi ya Vijiji vinavyonufaika imeongezeka kutoka vijiji  24 mwaka 2021 hadi Vijiji 60 mwaka 2022 amesema Mangali.

Aidha, ameeleza kuwa kiasi cha shilingi milioni 94.78 ni asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri na kiasi cha shilingi milioni 140.85 ni fedha za marejesho ya mikopo  zilizotolewa na Halmashauri ya Siha miaka ya nyuma.

Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro itaendelea kutenga fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri asilimia 10  kila robo ya mwaka  katika kuwawezesha wananchi kiuchumi hususani vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu amesema Mangali

Matangazo

  • TANGAZO LA VIBALI VYA UJENZI SIHA January 22, 2021
  • TANGAZO MAFASI ZA KAZI SIHA DC KILIMANJARO May 24, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA -KILIMANJARO June 30, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPATO NA MATUMIZI KIPINDI ROBO YA PILI MWAKA WA FEDHA 2017/2018 February 07, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Wazazi Siha watakiwa kulinda ulinzi wa mtoto

    June 16, 2022
  • SERIKALI YATOA PIKIPIKI 23 KUBORESHA KILIMO WILAYANI SIHA

    June 15, 2022
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Siha tarehe 12 Juni,2022

    June 10, 2022
  • Wananchi Siha Kusini wajiandaa kupokea Mwenge wa Uhuru

    June 08, 2022
  • Ona Zote

Video

SERIKALI YA RAIS SAMIA YAENDELEA KUBORESHA SEKTA YA KILIMO SIHA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.