• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2018/2019
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Siha yapongezwa kwa miradi bora ya maendeleo

Posted on: January 18th, 2022

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI mhe. Festo Dugange(pili kutoka kushoto) ametoa pongezi kubwa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Siha kwa kusimamia matumizi bora ya fedha za Serikali pamoja na ujenzi wa miradi imara ya maendeleo

Pongezi hizo amezitoa Januari 18 ,2022 alipofanya ziara ya kikazi ya siku moja katika Wilaya ya Siha ambapo ametembelea mradi wa ujenzi wa barabara ya Lami kutoka kwa DC hadi Makiwaru kupitia Karansi.

Naibu Waziri OR-TAMISEMI mhe Festo Dugange(pili kushoto) akitoa pongezi kwa Halmashauri ya Siha leo tarehe 18 januari 2022

Pia amekagua ujenzi wa shule shikizi ya Msingi ya Neema Kata ya Gararagua pamoja na kukagua nyumba ya watumishi wa afya katika Zahanati ya Sinai Kata ya Ormelili

Matangazo

  • TANGAZO LA VIBALI VYA UJENZI SIHA January 22, 2021
  • TAARIFA YA M.KITI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA ROBO YA TATU 2021/2022 April 29, 2022
  • TANGAZO AJIRA YA MUDA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 05, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPATO NA MATUMIZI KIPINDI ROBO YA PILI MWAKA WA FEDHA 2017/2018 February 07, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • RC Kilimanjaro akagua Miradi ya Mwenge 2022

    May 21, 2022
  • WANANCHI KILARI WAFURAHIA UAMUZI WA SERIKALI

    May 16, 2022
  • Serikali yapongezwa kwa kuboresha miundombinu ya Barabara Siha

    May 14, 2022
  • Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi Wilayani Siha awamu ya Sita ya Rais SAMIA

    May 11, 2022
  • Ona Zote

Video

UCHAGUZI MDOGO VIJIJI 6,VITONGOJI 8 KUFANYIKA TAREHE 26 JUNI,2022
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.