• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2018/2019
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Kamati ya Elimu,Afya na maji

WAJUMBE WA KAMATI YA ELIMU, AFYA NA MAJI

1.Mh. Jonathan M. Nasari – Mwenyekiti wa Kamati

2.Mh. Suzan F. Natai……….Mjumbe

3.Mh. Nsunu Lwite Ndossi……Mjumbe

4.Mh. Duncan B. Urassa………Mjumbe

5.Mh. Jane  C. Kimaro…………Mjumbe

6.Mh. Dawson V. Ndossa……..Mjumbe

7.Mh. Elizabeth E.  Mollel……..Mjumbe

8.Mh. Patrick J.  Kimario……….Mjumbe

9.Mh. Jackson J.  Rabo………….Mjumbe

10.Mh. Frank  K. Tarimo…………..Mjumbe


Majukumu ya Kamati ya Elimu,Afya na Maji

Kushughulikia mambo yote yanayohusu afya ya jamii, elimu na huduma za maji. Kamati hii pia itashughulikia mambo yanayohusiana na jitihada za wanannchi vijijini kujiletea maendeleo yao kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushauri, kushawishi, kuzindua, kuelimisha na kushirikisha wananchi hao hasa katika kutayarisha, kutekeleza, kusimamia na kutathmini mipango yao ya maendeleo.

Majukumu  ya Kamati:

  • Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa Hospitali, vituo vya afya na Zahanati
  • Kuandaa mipago ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa shule za awali na Msingi,Sekondari  na elimu ya watu wazima kwa mujibu wa Sheria ya Elimu ya 1978 kama ilivyorekebishwa mwaka 1995.
  • Kupendekeza mipango ya ujenzi au upanuzi wa vituo,viwanja, majengo na mazingira ya burudani, starehe, mapumziko na michezo.
  • Kuamua juu ya mambo yanayohusu uhifadhi wa mambo ya kale na mandhari mbalimbali zenye sura nzuri.
  • Kuandaa na kuratibu njia bora juu ya uhifadhi wa nyaraka muhimu kwa ajili ya kumbukumbu  zitahifadhiwa kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa Sura ya 287.
  • Kpendekeza njia bora juu ya uhifadhi wa sanaa mbalimbali za ufundi na za maonyesho kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa Sura ya 287.
  • Kupendekeza namna ya malezi ya vijana ili waweze kuwa wazalishaji katika Taifa.
  • Kupendekeza namna ya malezi ya vijana ili waweze kuwa wazalishaji katika Taifa.
  • Kusimamia uanzishaji wa uendelezaji wa vikundi vya jamii na vya hiari vya wananchi katika Halmashauri kwa mujibu wa sera wa maendelo ya jamii.
  • Kusimamia na kuhakiki maeneo ya misitu, mapori, na mbuga zilizotengwa kama hifadhi ya mamlaka ya Serikali za Mitaa.
  • Kupendekeza na kufanya tathmini ya uendelezaji wa mabonde, mito na mabwawa.
  • Kubuni na kupendekeza namna ya kidhibiti moto
  • Kubuni na kupendekeza mikakati ya utumiaji wa nishati mbadala, kuzuia ukataji miti ovyo, na kuhimiza upandaji miti kwa wingi.
  • Kuhakikisha kwamba ukaguzi wa majengo unafanyika mara kwa mara.
  • Kupendekeza mipango madhubuti ya ujenzi wa barabara vijijini na wilayani kwa ujumla.
  • Kupendekeza Sheria Ndogo zinazohusu Kamati hizi.

Matangazo

  • TANGAZO LA VIBALI VYA UJENZI SIHA January 22, 2021
  • TAARIFA YA M.KITI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA ROBO YA TATU 2021/2022 April 29, 2022
  • TANGAZO AJIRA YA MUDA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 05, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPATO NA MATUMIZI KIPINDI ROBO YA PILI MWAKA WA FEDHA 2017/2018 February 07, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • RC Kilimanjaro akagua Miradi ya Mwenge 2022

    May 21, 2022
  • WANANCHI KILARI WAFURAHIA UAMUZI WA SERIKALI

    May 16, 2022
  • Serikali yapongezwa kwa kuboresha miundombinu ya Barabara Siha

    May 14, 2022
  • Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi Wilayani Siha awamu ya Sita ya Rais SAMIA

    May 11, 2022
  • Ona Zote

Video

UCHAGUZI MDOGO VIJIJI 6,VITONGOJI 8 KUFANYIKA TAREHE 26 JUNI,2022
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.