• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Tourism
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
  • Kata

DC-Siha awataka Maofisa ugani Wilayani Siha kubadilika

Posted on: March 1st, 2018

Maofisa Ugani Wilaya ya Siha watakiwa kuacha kufanya kazi kwa mazoea-DC Siha

Maofisa ugani na Wataalam wanaosimamia sekta ya kilimo katika Wilaya ya Siha wametakiwa kutimiza majukumu yao kwa kuwasaidia wananchi vijijini badala ya kuendelea kukaa maofisini.

Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa pembejeo Wilaya ya Siha ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo mh. Onesmo Buswelu katika kikao cha kujadili bei elekezi ya mbolea aina ya kupandia na kukuzia. Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri ya Wilaya ya Siha leo tarehe 01.3.2018.

Katika kikao hicho mkuu wa Wilaya ya Siha mh. Onesmo Buswelu aliagiza na kuwataka maofisa ugani wote waliopo Wilaya ya Siha kuacha kufanya kazi kwa mazoea na badala yake watumie ujuzi walionao kuwasaidia wananchi.

Wadau wa pembejeo  Wilaya ya Siha wakiwa katika kikao hicho katika ukumbi wa mikutano halmashauri ya Tovuti.

“Napenda kutoa agizo kuwa kuanzia sasa nikifika katika eneo lolote katika Wilaya ya Siha nitawauliza wananchi wa ene husika kama wanamfahamu afisa ugani wao wakisema hawakujui basi mimi kama mkuu wa Wilaya nitachukua hatua za kinidhamu mara moja” alisema Buswelu.

Msimu mkubwa wa kilimo kwa mvua za masika unatarajiwa kuanza hivi karibuni na wafanyabiashara na Mawakala wa pembejeo za kilimo wametakiwa kuzingatia bei elekezi ya mbolea iliyotolewa na Serikali.

Matangazo

  • TANGAZO LA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 18-19/05/2017 May 12, 2017
  • TANGAZO LA KUUZWA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA-KILIMANJARO November 27, 2017
  • TANGAZO WAMILIKI WA VIBANDA VYA BIASHARA ENEO LA KITUO CHA MABASI ORMELILI KIA NA SANYA JUU July 12, 2017
  • TANGAZO: MAJINA YA WALIOITWA KATIKA USAILI HALMASHAURI YA SIHA -KILIMANJARO TAREHE 23 -25/10/2017 October 16, 2017
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Siha kutekeleza sera ya viwanda kwa vitendo

    March 03, 2018
  • Mawakala wa pembejeo Siha watakiwa kuzingatia bei elekezi -DC Siha

    March 02, 2018
  • DC-Siha awataka Maofisa ugani Wilayani Siha kubadilika

    March 01, 2018
  • Wanaouza pembejeo "feki" kwa wakulima kukiona-DC Siha

    February 26, 2018
  • Ona Zote

Video

Rais Magufuli apongezwa Wilayani Siha kwa uchapakazi wake uliotukuka
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania
  • Tovuti ya Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Dutch Corner, Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro

    sanduku la Posta: S.L.P 129, Sanya Juu, Siha, Kilimanjaro

    simu: 0732973257

    Mobile: 0756174288/0676

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Visitors Counter

writing a Master Thesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.